Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Muungano wa Azimio One Kenya umemtaka Rais William Ruto kuidhinisha mswada wa kuunda upya kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC. Katika mkutano na wanahabari, kiongozi wa chama cha…