Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameunga mkono pendekezo la kutaka ugavi wa pesa kutoka serikali kuu kwa kaunti kwa kuzingatia idadi ya watu. Raila anasisitiza kuwa…