Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Australia imetangaza kuwa itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa utakaofanyika mwezi Septemba, hatua inayofuatia maamuzi sawa yaliyofikiwa na mataifa kama Uingereza,…