Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa mara tatu wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon alihitimisha msimu wake kwa ushindi wa makala ya kwanza ya mbio za Athlos NYC nchini Marekani mapema Ijumaa.…