Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya mchezo wa raga ya Kabras ya wachezaji 15 kila upande kutoka Kakamega, imezidi kuonyesha tamaa ya kunyakuwa taji kuu la mchezo huo nchini (Kenya Cup) kwa mara nne…