Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa Uganda Eddy Kenzo amekanusha madai kwamba amekuwa akizuia wasanii kupata fursa ya kutumbuiza kwenye mikutano ya kampeni ya chama tawala cha NRM. Kenzo ambaye ni mshauri wa Rais…