Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Polisi wamekamata kijana wa umri wa miaka 17 aliyenaswa kwenye video iliyosambaa mitandaoni akiikosea heshima bendera ya Kenya wakati wa mechi ya kandanda katika Uwanja wa Nyayo. Katika taarifa iliyotolewa…