Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Kisumu Prof. Anyang' Nyong'o, ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuondolea ushuru vifaa vinavyotumiwa katika utengenezaji wa boti za ‘fiberglass’. Prof. Nyong'o alisema hatua hiyo itapunguza gharama za…