Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru ametoa wito kwa Serikali ya Taifa kununu mchele unaokuzwa hapa nchini, kabla ya kuagiza mchele kutoka nje ya nchi bila ushuru. Waiguru alisema kuwa huku…