Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamia ya wanawake kaunti ya Kirinyaga, wametoa wito kwa Rais William Ruto kumteua Gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru kuwa naibu Rais wa taifa hili. Wanawake hao walimuidhinisha Waiguru, wakisema ndiye…