Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa kilimo Dkt. Andrew Karanja, leo Alhamisi alishiriki mazungumzo na chama cha watengenezaji mbolea hapa nchini, kwa lengo la kuimarisha shughuli za kilimo. Mkutano huo pia ulikusudia kuimarisha ushirikiano…