Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ametangaza kwamba anakubaliana na mpango wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Kupitia taarifa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii,…