Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa Uganda s Patrick Mulwana maarufu kama Alien Skin ametangaza ada ambayo atakuwa analipisha ili kutumbuiza kwenye matamasha ughaibuni. Akizungumza katika mahojiano mwanamuziki huyo alisema kwamba atadai malipo ya…