Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Miji Alice Wahome, amepuuzilia mbali uvumi unaoenezwa mitandaoni kwamba anapanga kujiuzulu. Akizungumza wakati wa zoezi la upanzi miti katika kaunti ya Laikipia, Wahome…