Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa leba na ulinzi wa jamii Dkt. Alfred Mutua, amsema serikali inatia bidii katika kuwatafutia ajira hapa nchini na katika ngazi za kimataifa. Waziri huyo alidokeza kuwa, serikali ya…