Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wawili wamefariki kufuatia ajali ya ndege iliyotokea jana Alhamisi, majira ya saa 11:14 jioni, katika eneo la Kedong mjini Naivasha. Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) inasema…