Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Mahakama imeelezea wasiwasi wake kuhusu taarifa ya Chama cha Wanasheria hapa nchini, LSK iliyotolewa Januari 23,2025, iliyowahimiza wanachama wake kuandamana hadi Mahakama ya Upeo kufuatia uamuzi wa mahakama…