Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Leslie Muturi ambaye ni mwanawe mwanasheria mkuu nchini Justin Muturi ameachiliwa huru. Inaripotiwa kwamba aliachiliwa jana Jumapili jioni baada ya saa kadhaa za kutoweka. Baada ya maafisa wa polisi kukana…