Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Afya imepigwa jeki baada ya kupokea vifaa vya tekonolojia ya habari vitakavyosaidia katika uangalizi na ufuatiliaji wa magonjwa katika maeneo ya mpakani. Vifaa hivyo vinajumuisha vipakatalishi, kompyuta na…