Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Kwale Fatuma Achani amezindua ujenzi wa jumba la kuhudumia wagonjwa katika hospitali ya Samburu ili kuhakikisha huduma bora za afya kwa wakazi wa kaunti ndogo ya Samburu. Akizungumza…