Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Filamu kwa jina "Between the Rains" inayohusu tabianchi, ilizinduliwa na kuonyeshwa kwa mara ya kwanza katika jumba la KICC katika kongamano linaloendelea la Afrika kuhusu tabianchi. Akizungumza kwenye maonyesho hayo…