Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya kombe la African Football League, baada ya kuwashinda Casablanca ya Morocco mabao 3-2 kwa jumla. Mamelodi…