Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ian Njoroge ambaye ni dereva wa matatu aliyenaswa kwenye video akimshambulia polisi amefikishwa mahakamani leo Jumanne asubuhi. Mbugua alikamatwa na polisi baada ya kuonekana kwenye video hiyo iliyosambazwa mno mitandaoni…