Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Licha ya kupitia changamoto tele katika dakika 120, Super Eagles ya Nigeria hatimaye walitinga fainali ya kombe la AFCON baada ya subira ya miaka 11. Nigeria walizidiwa kimchezo na Bafana…