Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF), likishirikiana na kampuni ya PUMA, limezindua mpira utakaotumika kwenye Makala ya mwaka huu ya kipute cha AFCON nchini Morocco. Mpira huo ujulikanao kama ITRI,…