Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Derby ya mashemeji kuwania alama za ligi kuu kati ya AFC Leopards na Gor Mahia, iliyokuwa ichezwe Jumapili hii imeahirishwa. Kulingana na taarifa ya shirikisho la soka nchini FKF,mchuano huo…