Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amehimiza mabadiliko makubwa ulimwenguni hasa katika madeni na uungwaji mkono wa juhudi za uhifadhi wa mazingira. Kiongozi huyo wa Kenya aliyasema hayo katika mkutano kuhusu kuvunja mzunguko…