Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha wanasheria nchini LSK kimemwandikia waraka kamanda wa polisi katika eneo la Nairobi Adamson Bungei, kikimtaka aruhusu maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024 kuendelea. "Tumeona taarifa…