Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Anadaiwa kuzua vurugu kwenye teksi, mwendesha teksi akaamua kumwacha barabarani alivyoambiwa na aliyeagiza teksi, alipojaribu kuvuka barabara ya kuu ya Thika akiwa mlevi akagongwa na gari jingine.