Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Isiolo Abdi Guyo amenusurika kutimuliwa baada ya Seneti kuamua kwamba Bunge la kaunti ya Isiolo halikufuata utaratibu ufaao kumuondoa mamlakani. Kulingana na Seneti iliyoandaa kikao cha…