Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA katika kaunti ya Busia wametoa sasa wanapendekeza aliyekuwa Waziri wa Michezo kupewa wadhifa serikalini. Namwamba ni miongoni mwa mawaziri waliyopigwa kalamu katika uteuzi…