Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars imendeleza mazoezi yake katika uwanja wa Nelson Mandela jijini Kampala Uganda, kujiandaa kwa mchuano wa kufuzu kwa kipute cha AFCON. Harambee Stars…