Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto leo Jumanne alijiunga na viongozi mbalimbali wanaohudhuria kongamano la kimataifa la uwekezaji la kaunti ya Homa Bay, kongamano ambalo alifungua rasmi. Akihutubia washiriki, kiongozi wa nchi alimmiminia…