Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Leo mwanamuziki tajika wa Nigeria 2Face Idibia au ukipenda 2Baba anasherehekea siku yake ya kuzaliwa anapotimiza umri wa miaka 50. Mtunzi huyo wa wimbo maarufu 'African Queen' ametoa taarifa rasmi…