Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali inatarajiwa kutangaza makadirio ya matumizi ya pesa mwaka 2024/205 leo alasiri. Hafla hiyo ya kila mwaka itasomwa bungeni na Waziri wa Fedha Professa Njuguna Ndungu. Bajeti hiyo ni ya…