Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hellen Obiri amehifadhi ubingwa wa mbio za Boston Marathon kwenye makala ya 128, yaliyoandaliwa Jumatatu jioni nchini Marekani. Obiri ameziparakasa mbio hizo kwa saa 2 dakika 22 na sekunde 37…