Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetangβula yuko jijini Kampala nchini Uganda ambako aliwasili jana jioni kwa ajili ya kongamano la 27 la maspika na maafisa wakuu wa mabunge…