Serikali yaahidi kuhakikisha uadilifu wa mitihani nchini

Martin Mwanje
1 Min Read

Serikali imeahidi kuhakikisha uadilifu wa mitihani ya kitaifa kote nchini.

Waziri wa Elimu Julius Ogamba pia anasema serikali imekusudia kuhakikisha kuwepo kwa usawa kwa watahiniwa wote wanaofanya mitihani hiyo.

“Uwazi na uwajibikaji vinaendelea kuwa msingi wa mchakato wa mtiani huku Wizara ikiimarisha uratibu unaoleta pamoja asasi mbalimbali katika ufuatiliaji na usimamizi,” amesema Waziri Ogamba.

Aliyasema hayo aliposhuhudia ufunguzi wa kontena ya Baraza la Kitaifa la Mitihani nchini, KNEC katika afisi ya Naibu Kamishna wa Kaunti ya Kisauni, kaunti ya Mombasa leo Jumatano.

Waziri aliyasema hayo wakati ambapo visa kadhaa vya wizi wa mtihani unaoendelea wa kidato cha Ogamba ameahidi  County before proceeding to Hassan Joho Girls Secondary School. The visit forms part of the ongoing nationwide monitoring exercise aimed at ensuring the smooth, transparent, and credible administration of the national examinations.

Share This Article