Serikali ya Tanzania yashindwa kuthibitisha matumizi ya dola milioni 430

Rais Samia analenga kuhifadhi kiti chake katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu huku akikabiliwa na shinikizo si haba

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, amepatwa na pigo jingine kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu baada ya mkaguzi wa bajeti kusema serikali yake imeshindwa kufafanua matumizi ya dola milioni 430.2.

Yamkini baadhi ya pesa ambazo serikali imeshindwa kuthibitisha matumizi yake ni pamoja na dola milioni 18 za ushuru wa mafuta katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Rais Samia analenga kuhifadhi kiti chake katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu huku akikabiliwa na shinikizo si haba

Share This Article