Serikali inatarajiwa kutangaza makadirio ya matumizi ya pesa mwaka 2024/205 leo alasiri.
Hafla hiyo ya kila mwaka itasomwa bungeni na Waziri wa Fedha Professa Njuguna Ndungu.
Bajeti hiyo ni ya kima cha shilingi trilioni 4 ikiwa na upungu shilingi bilioni 608,kutoka kwa ile mwaka jana.
Baadhi ya sekta zilizotengewa mgao mkubwa wa bajeti hiyo ni elimu na afya.