Rais William Ruto anahudhuria sherehe ya kutawazwa kwa kasisi Wallace Ng’ang’a Gachihi,kuwa askofu wa jeshi la Kednya katika uwanja wa kijeshi wa Ulinzi Sports Complex mtaani Lang’ata.
Sherehe hiyo pia inahudhuriwa na maaskofu wa kanisa Katoliki nchini.