Raia wamiminika Opoda Farm kumpokea marehemu Raila

Dismas Otuke
1 Min Read

Melfu ya waombolezaji wamefurika nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Opoda Farm Jumamosi jioni.

Wananchi wamepewa fursa ya mwisho ya kuutazama mwili wa hayati Raila nyumbani kwake.

Hii inafuatia wakazi wa Nairobi kupewa fursa hiyo kuutazama mwili siku ya Alhamisi na Ijumaa kabla ya raia wa Kisumu kupata zamu yao Jumamosi.

Marehemu Raila atazikwa kesho baada ya kufariki Jumatano wiki hii akiwa na umri wa miaka 80.

Share This Article