Polisi wapata mifugo 12 walioibwa Igembe

Tyari ng'ombe hao wamekabidhiwa wamiliki katika kijiji cha Bullow eneo la Igembe North.

Dismas Otuke
0 Min Read

Polisi wamepata mifugo 12 waliokuwa wameripotiwa kuibwa  Juni 26,  katika msitu wa Ndumuru.

Ng’ombe hao waliopatikana walikuwa wameripotiwa kuibwa Juni 26, katika kituo cha polisi cha Kangeta, kabla ya  msako kuendeshwa  na mifugo hao kupatikana Jumamosi Juni 28 .

Tyari ng’ombe hao wamekabidhiwa wamiliki katika kijiji cha Bullow eneo la Igembe North.

Polisi wameapa kuendeleza msako wa kukabiliana na wezi wa mifugo katika eneo hilo.

TAGGED:
Share This Article