Thursday, 12 Feb 2026

Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.

 
Explore Now
KBC Swahili
  • Kimataifa
    • Vipindi
    • Habari Kuu
    • Taifa
  • Biashara
  • Burudani
  • Kaunti
  • Michezo
  • Videos
  • Paris Olympics 2024
  • Back to KBC
  • Kimataifa
  • Taifa
  • Habari Kuu
  • Michezo
  • Kaunti
  • Burudani
  • Vipindi
  • Biashara
  • Habari za Hivi Punde
  • Makala
KBC SwahiliKBC Swahili
Font ResizerAa
  • Kimataifa
  • Biashara
  • Burudani
  • Kaunti
  • Michezo
  • Videos
  • Paris Olympics 2024
  • Back to KBC
Search
  • Kimataifa
    • Vipindi
    • Habari Kuu
    • Taifa
  • Biashara
  • Burudani
  • Kaunti
  • Michezo
  • Videos
  • Paris Olympics 2024
  • Back to KBC
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Kimataifa

Mwili wa Papa Francis wafikishwa St. Peter’s Basilica

Jared Ombui
April 23, 2025 12:31 pm
By Jared Ombui
Share
1 Min Read
Mwili wa Papa Francis.
Mwili wa Papa Francis.
SHARE

Jeneza la wazi la Papa Francis limehamishiwa katika Kanisa la St. Peter’s Basilica kwa siku tatu, huku maelfu ya watu wakikusanyika kutoa heshima zao kwa kiongozi wa Wakatoliki duniani.

Kengele za Basilica hiyo zililia wakati jeneza la mbao liliposafirishwa kwa maandamano mbele ya umati uliokuwa umejaa katika Uwanja wa St. Peter’s Basilica, likisindikizwa na makadinali waliovaa mavazi mekundu na Walinzi wa Uswisi wa Vatican.

Mahujaji na watalii walikuwa wakipiga picha, huku baadhi wakipiga makofi wakati maandamano yalipopita kutoka makaazi ya Santa Marta, ambako Papa huyo mwenye miaka 88 alifariki Jumatatu baada ya kupata kiharusi.

Mwili wa Francis ulikuwa umehifadhiwa katika kanisa la Santa Marta, alikokuwa akiishi wakati wote wa miaka 12 ya upapa wake, lakini sasa utalala wazi kwa heshima katika basilika hiyo hadi mazishi Jumamosi.

Mazishi yanatarajiwa kuvutia maelfu ya mahujaji na viongozi wa kimataifa, akiwemo Rais wa Marekani Donald Trump, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, na Mwanamfalme William wa Uingereza.

TAGGED:Donald TrumpItaliaMarekaniMwanamfalme William wa UingerezaPapa FrancisSanta MartaSt. Peter's BasilicaUkraine Volodymyr Zelensky
Share This Article
Email Copy Link Print
Previous Article Murkomen: Kikosi maalum kitabuniwa kukabiliana na ulanguzi wa binadamu
Next Article Watu wawili wasombwa na mafuriko Narok

You May also Like

Kimataifa

Mudavadi: Tunatathmini kwa kina mikakati ya kuinadi Kenya duniani

July 30, 2024
KimataifaTaifa

Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua Ndung’u amefariki

September 6, 2024
Kimataifa

Serikali imeweka mikakati madhubuti kupunguza athari za mafuriko,asema Rais Ruto

May 3, 2024
KimataifaVipindi

Kampuni ya Lesedi yatakiwa kukabidhi mahakama hatimiliki

March 12, 2024
Show More
  • More News:
  • Kenya
  • William Ruto
  • CAF
  • Tanzania
  • President William Ruto
  • Uganda
  • DCI
  • FKF
  • Rais William Ruto
  • Nigeria
  • Israel
  • Raila Odinga
  • USA
  • Rigathi Gachagua
  • FIFA
  • Musalia Mudavadi
  • EACC
  • DRC
  • China
  • gaza
KBC Swahili

Information You Can Trust: Stay instantly connected with breaking stories and live updates. From politics and technology to entertainment and beyond, we provide real-time coverage you can rely on, making us your dependable source for 24/7 news.

Youtube Medium Rss

About Company

  • Contact Us
  • Advertise with US
  • Complaint
  • Privacy Policy
  • Cookie Policy
  • Submit a Tip

Real-time Updates on the Latest Stories!

© Kbc Swahili.  All Rights Reserved. 2025

Welcome to Foxiz
Username or Email Address
Password

Lost your password?