Naibu Rais Kithure Kindiki ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri nyumbani kwake mtaani Karen mapema Jumanne.
Kikao hicho kilijadiliana ajenda kuu za serikali na mipango ya serikali kuu na utekelezaji wake.
Mkutano huo ulijadili usimamizi,mipango ya kijamii na usimamizi wa umma.

Aidha Baraza hilo lilizungumzia kuhusu mapendekezo ya Wizara mbalimbali katika kufanikisha ajenda ya serikali ya kitaifaa.