Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema serikali itabuni kitengo cha kukabiliana na ulanguzi wa mihadarati. Kulingana na kiongozi wa taifa, kitengo hicho kitabuniwa katika Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI,…