Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amemwagiza Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen kuhakiksiha hazina ya kustawisha michezo, inatumika kwa manufaa ya wanamichezo pekee. Ruto amesema kuwa pesa hizo kamwe hazitatumika kutekeleza shughuli nyingine.…