Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka ametetea viongozi wa Siasa wanaotoa michango kwa makanisa, akisema ishara kama hizo zinaendana na mafundisho ya Biblia. Akizungumza hii leo wakati wa misa…