Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, amependekeza uwanja wa Talanta upewe jina la Raila Odinga, kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya hayati Raila Amollo Odinga. Akizungumza wakati wa sherehe…