Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imeuza asilimia 15 ya hisa za Safaricom kwa kampuni ya Vodacom katika mkataba wa biashara kwa thamani ya shilingi bilioni 240.5. Hii ni sehemu ya mpango wa kufungua uwekezaji…